Jumla ya Mahakimu Wakazi wapya 142 wamepewa Mafunzo Elekezi yaliyofanyika katika Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto. Mahakimu hao ni wale walioapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma Februari 18, 2021 na Februari 26, 2021 katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment