Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma

Jaji kiongozi wa Tanzania

Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma, Jaji Mkuu wa Tanzania (katikakati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wahitimu wa stashahada ya sheria

Mahafali ya Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto yaliyofanyia 18 Desemba, 2020

Mahafali ya Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto yaliyofanyia 18 Desemba, 2020

Wednesday, March 31, 2021

Mahafali

Mahafali ya Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto yaliyofanyia 18 Desemba,  2020

Tuesday, March 16, 2021

MAHAKIMU WAKAZI WAPYA WAPEWA MAFUNZO ELEKEZI

Jumla ya Mahakimu Wakazi wapya 142 wamepewa Mafunzo Elekezi yaliyofanyika  katika Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto. Mahakimu hao ni wale walioapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma Februari 18, 2021  na Februari 26, 2021 katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es salaam.