WANACHUO WAPYA WAPEWA MAELEKEZO
Mwaka mpya wa masomo 2021/2022 umeza rasmi kuanzia tarehe 9 Oktoba, 2021 kwa kuwapokea wanachuo wa astashahada na Stashahada ya Sheria. Wanachuo hawa walipokelewa Chuoni na kupitishwa kwenye mazingira mbalimbali ya Chuo ili kuwa na uelewa mpana katika mazingira ya ndani ya Chuo.
0 comments:
Post a Comment