Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Mhe. John Mrosso akifunga rasmi Mafunzo
Elekezi kwa Majaji Wapya wa Mahakama ya Tanzania na Zanzibar yaliyokuwa yanafanyika
Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto.
|
Waheshimiwa Majaji wa Mahahakama Kuu wakifuatilia tukio la
ufungaji wa Mafunzo Elekezi yaliyofanyika kwa muda wa wiki tatu kuanzia tarehe
31 Mei na kufungwa tarehe 18 Juni, 2021 Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto.
|
|
1. Waheshimiwa Majaji wa Mahahakama Kuu wakifuatilia tukio la
ufungaji wa Mafunzo Elekezi yaliyofanyika kwa muda wa wiki tatu kuanzia tarehe
31 Mei na kufungwa tarehe 18 Juni, 2021 Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto. |
|
1. Waheshimiwa Majaji wa Mahahakama Kuu wakifuatilia tukio la
ufungaji wa Mafunzo Elekezi yaliyofanyika kwa muda wa wiki tatu kuanzia tarehe
31 Mei na kufungwa tarehe 18 Juni, 2021 Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto.
|
|
1.
Meza Kuu wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Chuo cha
Uongozi wa Mahakama Lushoto.
|
|
1.
Mhe. John Mrosso Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani akiwa katika
picha ya pamoja na watumishi wa Mahakama wilayani Lushoto. Kuliani Mhe. Salum Masatti
Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani na Mkurugenzi wa Mafunzo Elekezi ya Majaji.
Kushoto ni Mhe. Dkt. Paul F. Kihwelo Jajiwa Mahakama ya Rufani na Mkuuwa Chuo
cha Uongozi wa Mahakama Lushoto |
|
1.
Mhe. John Mrosso Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani akiwa katika
picha ya pamoja na makundi mbalimbali na Washiriki wa Mafunzo Elekezi. Kulia ni Mhe.
Salum Masatti Jajiwa Mstaafu wa Mahakama ya Rufani na Mkurugenzi wa Mafunzo Elekezi
ya Majaji. Kushoto ni Mhe. Dkt. Paul F. Kihwelo Jaji wa Mahakama ya Rufani na Mkuu
wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto
|
0 comments:
Post a Comment