Habari Picha
Muonekano wa mbele wa bweni la wavulana lenye uwezo wa kulaza wanafunzi 360
Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Chuo na Jaji wa Mahakama ya Rufani, Dr. Gerald Ndika (Mwenye Tai Nyekundu) akiwa pamoja na wajumbe wa Baraza la Uongozi na wajumbe wa menejimenti ya Ija walipotembela Bweni la wavulana hivi karibuni IJA
Wajumbe wa Baraza la Uongozi wa Chuo na Wajumbe wa Menejimenti wakiwa kwenye ziara hiyo
Wajumbe wa Baraza la Uongozi wa Chuo na Wajumbe wa Menejimenti wakipita kwenye maeneo mbalimbali ya jengo hilo wakati wa ziara

0 comments:
Post a Comment